Miji nchini Ufaransa na Ubelgiji imekuwa ikitoa kuku bure kwa miaka mingi ili kukabiliana na upotevu wa chakula. Karibu na Pasaka mwaka 2015, mji wa Ufaransa wa Colmar ulianza kutoa kuku bure kwa ...
Maoni ya wahariri juu ya kugundulika mabaki za dizeli katika malisho ya kuku. Wahariri wa magazeti leo wanazungumzia juu ya kashfa inayohusu sumu iliyogunduliwa katika chakula cha kuku. Wahariri hao ...
Takribani mabanda 1000 ya kufugia kuku wa nyama na mayai yamefungwa nchini Ujerumani baada ya mabaki ya dizeli, Dioxin, kugunduliwa katika chakula cha kuku. Waziri wa Udhibiti na Usalama wa Chakula wa ...