Wamepewa tahadhari watu wasiokula mayai na kuku dhidi ya kupewa chanjo ya Corona kwani inaweza kuwadhuru kwa njia mbali mbali ingawaje shirika la Afya Duniani WHO halijatoa muongozo kamili kuhusu hilo ...
Watafiti wanamiliki kuku wenye vinasaba wanaotaga mayai yenye dawa inayoweza kukabiliana na saratani. Dawa hiyo ni rahisi kutengeneza wakati watafiti hao wanapotumia mayai hayo ikilinganishwa na ...
Maoni ya wahariri juu ya kugundulika mabaki za dizeli katika malisho ya kuku. Wahariri wa magazeti leo wanazungumzia juu ya kashfa inayohusu sumu iliyogunduliwa katika chakula cha kuku. Wahariri hao ...
Utafiti mpya umebaini kuwa, wafugaji hasa wa kuku wa kisasa na nguruwe nchini Tanzania, wanatumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV) kuongeza utagaji wa mayai kwa kuku na kuongeza ...
Namibia imesitisha uagizaji wa kuku na mayai kutoka kwa jirani yake Afrika Kusini, katika kukabiliana na mlipuko mbaya zaidi wa homa ya ndege katika historia yake, serikali ya Namibia imetangaza siku ...
Maafisa wakuu nchini Ubelgiji wamekiri kuwa, mnamo mwezi Juni, walifahamu mayai kutoka Uholanzi, huenda yalikuwa yameharibiwa na dawa ya kuuwa wadudu. Kashfa hii sasa imeigawa Ulaya na wasiwasi ...