Raia wa Kisomali wasioamini kwamba kuna kuna Mungu wanaoishi ughaibuni wana kundi lao katika mtandao wa Facebook linalopinga imani za raia wa Kisomali ambao ni Waislamu lakini mara huwa wanapokea ...
Idadi ya watu wanaoamini kwamba hakuna Mungu, hakuna maisha baada ya kifo na hakuna kuzaliwa upya baada ya kufa inaongezeka kwa kasi ulimwenguni. Kukana uwepo wa Mungu kuko waziwazi katika baadhi ya ...
wamewataka Watanzania kumweka mbele Mungu na kufanya kazi kwa bidii pamoja na kulinda amani ya nchi. Sambamba na hilo, ...