Matokeo yaliyotangazwa leo yanaonyesha kuwa kwa ujumla asilimia 87.79% ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu ambapo ni sawa na ongezeko la ufaulu la asilimia 0.49% ukilinganisha na asilimia ...
Huko Tanzania wimbi la vijana kumaliza kidato cha nne na kwenda chuoni moja kwa moja tofauti na zamani, ambao kila mmoja alitamani kuendelea na elimu ya sekondari katika ngazi ya kidato cha tano na ...