VIGOGO wa soka nchini, Simba na Yanga waliokuwa katika majukumu ya mechi za kimataifa wakishiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, ...
Wekundu wa Msimbazi waliopo Kundi D la michuano hiyo walianza kwa kunyukwa bao 1-0 nyumbani wiki iliyopita kabla ya juzi ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
KUMEKUWA na usiri mkubwa kwenye kambi za wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga ...
Baada ya kukamilisha mechi za viporo za Ligi Kuu soka Tanzania bara, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameeleza mipango inayofuata katika fainali ya kombe la shirikisho barani Africa dhidi ya RS Berkane.
Maandalizi kwa wawakilishi wa Tanzania Simba na Yanga yameendelea kushika kasi Kuelekea michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mnyama Simba atawakaribisha Al Ahly ijumaa ya Machi 29 huku ...
Tuliyokuandalia Jumamosi hii ni pamoja na uchambuzi wa hatua ya robo fainali mkondo wa pili michuano ya Klabu Bingwa Afrika, matokeo ya kufuzu soka Olimpiki ya kina dada, mwanasoka wa Afrika Kusini ...
Tuliyokuandalia ni pamoja na uchambuzi wa matokeo ya robo fainali mechi za klabu bingwa Afrika, Uganda yalenda kufuzu Kombe la Dunia wasiozidi miaka 17, timu ya taifa ya raga ya kina dada ya Kenya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results