Barani Afrika, wafugaji wengi hutegemea zaidi kuku kizungu. Kuku hawa pia nyama pia huitwa "kuku wa kisas, kuku wa nyama " ambapo huitwa majina hayo kwamepewa kutokana na nyama yake na ukuaji wake wa ...
Miji nchini Ufaransa na Ubelgiji imekuwa ikitoa kuku bure kwa miaka mingi ili kukabiliana na upotevu wa chakula. Karibu na Pasaka mwaka 2015, mji wa Ufaransa wa Colmar ulianza kutoa kuku bure kwa ...