Ingawa michuano hii kwa wanawake ilianza hivi majuzi - kwa mara ya kwanza ilifanyika mwaka wa 1991 nchini China - michuano ya kombe la dunia la soka kwa wanawake imekuwa matukio ya kimataifa. Na ...